Dk Kimangale anakiri amewahi kutibu wagonjwa wa akili waliotokana na kubeti kupitia wale waliofanikiwa kubadili tabia ingawa kuna walioshindwa kukamilisha matibabu yao, hivyo hawezi kusema kwa sasa wanaendeleaje. Tofuti na hapa kwetu, Uganda wafanyabiashara wamiliki wa mashine na mitandao mingine ya michezo ya kamari ni Wachina na Wahindi. Mhariri wa https://casinokubetcom42840.amoblog.com/kubetcom-agency-an-overview-54964896